Ikiwa unajifunza kuhusu Zcash kwa mara ya kwanza, utagundua mara moja kuwa kuna aina mbili za miamala zinazoweza kutokea: Za uwazi/transparent na * za kinga/shielded*. Zaidi ya hayo, ikiwa umekuwa ukifuatilia maendeleo ya hivi karibuni katika mfumo wa Zcash, labda umesikia juu ya Unified Addresses, au UA’s. Wakati watu katika tasnia ya Zcash wanazungumzia miamala za* kinga* wanamaanisha miamala ambayo inahusisha anwani zilizohifadhiwa kwa itifaki za sapling au orchard. UA’s zimeundwa ili kuunganisha aina yoyote ya miamala ya kinga au ya uwazi katika anwani moja. Ujumuishaji huu ni ufunguo wa kusimplisha UX (uzoefu wa mtumiaji) katika siku zijazo. Lengo la mwongozo huu ni kusaidia uelewa wa UA’s na kuonyesha mifano ya kuona kwa njia ya vitendo.
Kwa sasa, kuna aina tatu kuu za anwani zinazotumiwa hadi sasa. Hizi ni pamoja na:
trans1
Sapling
fullUA
Jambo la kwanza la kuzingatia ni jinsi urefu wa kila aina ya anwani unavyotofautiana. Unaweza kuona hili kwa kulinganisha idadi ya herufi katika kila anwani au kwa kutazama nambari za QR zinazohusiana. Kadiri urefu wa anwani unavyoongezeka, nambari ya QR inazidi kuwa ndogo na kuweza kubeba data zaidi ndani ya mraba.
t1goiSyw2JinFCmUnfiwwp72LEZzD42TyYu
ina herufi 35zs1cpf4prtmnqpg6x2ngcrwelu9a39z9l9lqukq9fwagnaqrknk34a7n3szwxpjuxfjdxkuzykel53
ina herufi 78u1ckeydud0996ftppqrnpdsqyeq4e57qcyjr4raht4dc8j3njuyj3gmm9yk7hq9k88cdkqfuqusgpcpjfhwu3plm2vrd32g8du78kzkm5un357r4vkhz4vhxd4yfl8zvszk99cmsc89qv4trd7jzkcs8h6lukzgy25j8cv76p0g603nrrg6yt6cxsh2v8rmkasskd69ylfyphhjyv0cxs
ina herufi 213Jambo la pili la kuzingatia ni kipengele cha awali cha kila kamba ya anwani – anwani za wazi huanza na t, anwani za sapling huanza nazs, na mwishowe UA’s huanza na u1.
Ni muhimu kutambua: